The following are the services provided by Government Chemist Laboratory Authority:-
All chemicals dealers within Tanzania Mainland are required to register to CCMP
During registration your required to attach two documents which are Tax Payer Identification Number (TIN) and Certificate of Incorporation from Tanzania Revenue Authority and Business Registration and Licensing Agency (BRELA) respectively.
During registration your required to attach two documents which are Tax Payer Identification Number (TIN) and Certificate of Incorporation from Tanzania Revenue Authority and Business Registration and Licensing Agency (BRELA) respectively.
Yes, All chemical dealers whether new or already registered manually will have to be registered with the Online Portal.
No, All users that have already been registered will only attach receipts from the manual registration process.
For now, you can take a picture or a screenshot of the receipt message from your phone and upload it in place of the payment slip.
You can only have 1 account per company.
No, You can use any character or number but not any of the special characters (A minimum of 6 characters total). You can also use your name and some numbers.
During the application for Certificate the Company will have to choose the preferred Category, and each Category has different requirement's click here for more information.
Vinasaba ni chembe ndogondogo za urithi ambazo hurithiwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine na chembechembe hizi hubeba taarifa mbalimbali na muhimu za kibaiolojia zinazohusiana na kiumbe husika. Vinasaba hupatikana kwenye seli za mwili wa binadamu na viumbe wengine ikiwemo baadhi ya bakteria na virusi.Binadamu, hurithi nusu ya vinasaba (50%) kutoka kwa Mama na nusu nyingine(50%) ya vinasaba kutoka kwa Mama. Mpangilio wa chembechembe za vinasaba (DNA Profile) hutofautiana kwa mtu mmoja na mwingine isipokuwa kwa mapacha wenye kufanana(Identical twins).Mpangilio wa chembe chembe za vinasaba unaweza kubainisha uhalali wa watoto kwa wazazi pamoja na kubainisha mahusiano yaliyopo baina ya ndugu wa familia au ukoo mmoja
Huduma za uchunguzi wa vinasaba hutolewa kwa mujibu wa Sheria ya Vinasaba vya Binadamu ya mwaka 2009.Taratibu zifuatazo hufuatwa ili kuweza kupata huduma za uchunguzi;-
Matokeo ya uchunguzi wa uhalali wa watoto kwa wazazi ni ya uhakika.
Teknolojia ya vinasaba vya Binadamu ni moja kati ya teknolojia zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani,kwa kupitia matumizi ya vinasaba vya binadamu,teknolojia hii inaweza kutumika kuboresha ustawi wa maisha ya watu kwa namna mbalimbali.
Teknolojia hii ikitumika ipasavyo huweza kutumiwa katika uchunguzi wa magonjwa mbalimbali na tiba, pia huweza kutumika katika utambuzi wa binadamu,kubaini uhalali wa watoto kwa wazazi na utambuzi viungo mbalimbali vya binadamu.
Vinasaba vya binadamu vimebeba taarifa nyingi na muhimu kuhusu binadamu, Kutokana na umuhimu huo Sheria ya vinasaba vya Binadamu ya mwaka 2009 ina lengo la kudhibiti na kusimamia matumizi sahihi ya vinasaba vya binadamu.Sheria ya Vinasaba vya Binadamu imeweka utaratibu wa uchukuaji wa sampuli, kufungasha, usafirishaji , kuhifadhi,uchunguzi pamoja na kuteketezwa kwa sampuli baada ya kukamilika kwa uchunguzi
Mwombaji anapaswa apate barua ya maombi kutoka Mamlaka zinazotambulika kisheria ambazo ni:
Ghrama za uchunguzi ni shilingi 100,000/= kwa sampuli moja yaani mtu mmoja. Hivyo kwa wahusika watatu (yaani baba, mama ma mtoto) ni shilingi laki tatu 300,000/=
Sampuli itachukuliwa kutegemeana na mamlaka hitaji pamoja na taratibu za kitaaluma. Aina ya sampuli zinazochukuliwa mara nyingi ni mate au damu kwa sampuli linganishi. Sampuli za kutoka eneo la tukio itategemea na aina ya tukio.
Ni kituo cha kudhibiti matukio ya sumu nchini, kilichopo chini ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, kinachofanya kazi ya kudhibiti matukio ya sumu nchini kwa kushirikiana na taasisi za tiba ili kusaidia watu wanaoathirika na sumu.
Wadau wa NPCC ni mtu yeyote, anayeweza kukutana na tukio la sumu,aidha wadau wengine ni taasisi za tiba, hospitali, na wadau wengine wanaohusika katika kulinda afya za watanzania.
Ili kuweza kupata huduma za Kituo cha kudhibiti Sumu nchini unatakiwa kupiga simu kwa namba za simu kwa namba 2113333 au 0736613333
Ushauri juu ya huduma ya kwanza kwa muathirika wa tukio la sumu, madhara ya sumu husika na ushauri wa kitaalamu kwa muathirika.
Shughuli zinazohitaji vibali kutoka GCLA ni pamoja na kuingiza kemikali nchini, kusafirisha kemikali ndani ya nchi, kusafirisha kemikali nje ya nchi na kuteketeza kemikali taka
Ni sampuli za vyakula, dawa na malighafi za dawa, dawa asili, viungo vya chakula, vipodozi, maji taka, udongo, detergents, sediments,kemikali na mazao yake.
Sampuli kwa ajili ya uchunguzi huweza kuletwa na wamiliki wa viwanda, wajasiriamali wakubwa na wadogo, mtu binafsi,Taaisisi za Serikali,mashirika binafsi na asasi zisizo za kiserikali.