18 of 60 | << First | < Previous | Next > | Last >> | Back to gallery |
MENEJA WA MAABARA YA SAYANSI JINAI BAIOLOJIA NA VINASABA, HADIJA MWEMA (KULIA) AKIMUONESHA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI, DKT. BASHIRU ALLY (KUSHOTO) HATUA ZA KUFANYA UCHUNGUZI WA SAMPULI ZA VINASABA KWA MASUALA YA KIJAMII NA JINAI UNAVYOFANYIKA BAADA YA KATIBU MKUU KUTEMBELEA MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI LEO TAREHE 16 FEBRUARI, 2021.