19 of 60 | << First | < Previous | Next > | Last >> | Back to gallery |
KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI, DKT. BASHIRU ALLY (KUSHOTO) AKIMSIKILIZA MCHUNGUZI WA MAABARA, ADAM MBUGI (KULIA) AKIELEZA NAMNA MTAMBO WA KISASA WA ICP AMBAO UNATUMIKA KUFANYA UCHUNGUZI WA MADINI NA MADINI TEMBO KWENYE BIDHAA ZA VYAKULA BAADA YA KATIBU MKUU KUTEMBELEA MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI LEO TAREHE 16 FEBRUARI, 2021