20 of 60 | << First | < Previous | Next > | Last >> | Back to gallery |
KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI, DKT. BASHIRU ALLY (KULIA) AKIANGALIA NAMNA SAMPULI YA UCHUNGUZI WA VINASABA INAVYOCHUKULIWA MDOMONI KWA MTEJA NA MTAALAM WA MAABARA, ALLY KANENDA (KUSHOTO) MARA BAADA YA KUTEMBELEA MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI LEO KUJIONEA NAMNA INAVYOTEKELZA ILANI YA CCM KWA KUIMARISHA UCHUNGUZI WA KIMAABARA KUPITIA UWEKEZAJI WA WATAALAM NA MITAMBO YA KISASA YA UCHUNGUZI.