
24 of 60 | << First | < Previous | Next > | Last >> | Back to gallery |
MKEMIA MKUU WA SERIKALI, DKT. FIDELICE MAFUMIKO, AKIFUNGUA SEMINA JUU YA UELEWA WA SHERIA YA VINASABA VYA BINADAMU NAMBA 8 YA MWAKA 2009 KWA MAWAKILI WANACHAMA WA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA (TLS) HAWAPO PICHANI. SEMINA HIYO ILIFANYIKA JANA TAREHE 20 FEBRUARI, 2021, KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA JENGO LA TLS, MIKOCHENI, DAR ES SALAAM, IKIWA NI SEHEMU YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA ELIMU KWA UMMA WA MAMLAKA. JUMLA YA WANASHERIA MIA MOJA WALISHIRIKI MOJA KWA MOJA NA WENGINE MIA TATU WALISHIRIKI KWA NJIA YA MTANDAO (ZOOM).