Ujumbe wa Mkemia Mkuu wa Serikali

Prof. Samwel V. Manyele
CGC/CEO

Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Facebook   Twitter Google+
  
Fomu ya Maoni ya Mteja

Mteja Wetu:

Tunashukuru kwa kukubali kukamilisha Fomu yetu ya Maoni. Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA).
imejizatiti kutoa huduma bora. Ili huduma zetu ziendelee kuboreshwa wewe kama Mteja wetu, tunaomba tukusilikilize maoni yako kwa kujaza Fomu yetu.
Maoni yako yatatusaidia kuweza kufikia malengo yako na kuweza kukuhudumia kwa kukupa huduma bora zaidi. Tafadhali weka alama au jaza kama ilivyoelekezwa.
Majibu yako yatakuwa yatatunzwa kama siri


   
  Fomu ya Maoni ya MtejaDate visited:
  Fomu ya Maoni ya MtejaTime:
  Fomu ya Maoni ya MtejaWhich services (s) were you seeking from Government Chemist Laboratory Agency (GCLA)?

1. Huduma zipi/ipi uliyoifuata katika Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA)??
 
  Nzuri sana Nzuri Kawaida Mbaya
Huduma kutolewa haraka
Umepokelewaje?
Kiwango cha Usiri
Ufahamu wa huduma
Uaminifu
Ujuzi
Mazingira
Kama kuna Mengine, Tafadhali tueleze
         
2. Nini maoni yako ya jumla kuhusu wafanyakazi?
Nzuri sana     Nzuri     Kawaida     Mbaya
3. Fomu ya Maoni ya Mteja?
Ndio       Hapana
 
4. Jeumeonaje huduma zetu leo ukilinganisha na miaka iliyopita?
5. Je umetumia huduma za GCLA kwa muda gani?
6. Nini maoni yako ya jumla kuhusu wafanyakazi?
Nzuri sana     Nzuri     Kawaida     Mbaya
7. Ni huduma yoyote ambayo huridhiki nayo?
Ndio       Hapana
8. Kama Ndiyo; Naomba utueleze sababu zake
9. Je una sababu yoyote ya malalamiko kuhusu huduma zitolewazo GCLA?
Ndio       Hapana
10. Kama Ndio; Naomba utueleze sababu zake
11. Je malalamiko yako yalishughulikiwa na kumalizwa kikamilifu?
Ndio       Hapana
12. Kama Hapana; Naomba utueleze malalamiko yako
13. Ju kuna huduma yoyote ungependa GCLA itoe?
14. Tunaomba kama una maoni au ushauri wowote?
     
Taarifa binafsi (Sio lazima)
  Jina Lako:
  Anwani:
  Simu:
  Barua pepe:

Tafadhali tunaomba uiweke Fomu hii katika sanduku husika, tuma au ipeleke kwa::

Mkemia Mkuu wa Serikali,
Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali,
S.L.P 164, Dar es salaam.

AU
Lake Zone Laboratory - Sekou Toure Hospital, Mwanza
Northern Zone Laboratory - Themi Health Centre, Arusha
Southern Highlands Zone Laboratory - Mbeya Regional Hospital, Mbeya

Kama una maswali, ushauri au maoni ya ziada; Tafadhali tuma kwa anwani hapa juu au: feedback@gcla.go.tz or Tembelea tovuti yetu: www.gcla.go.tz

Ruya Yetu
Kuwa reputable darasa dunia uchambuzi maabara kwa ajili ya utekelezaji wa afya, kijamii hatua ustawi na mazingira.
Upelekwa Wetu

Kutoa ubora na gharama nafuu za maabara na huduma za udhibiti wa Taasisi za Serikali, sekta binafsi na umma kwa ujumla kwa lengo la kulinda afya ya binadamu, mazingira na kwa ajili ya utekelezaji wa haki.

Habari Mpya
Dec 27, 2017
Sep 22, 2017
Aug 17, 2017
Aug 09, 2017