Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

GCLA Logo
ISO 9001:2015 Certified

SABA SABA 2023

11 Jul, 2023 - 17 Jul, 2023
03:05:00 - 14:07:00
SABASABA
Silvesta

Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (aliyevaa koti), akiwa pamoja na Balozi wa Urusi nchini, Alexey Bondaruk (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Latifa Khamis (wa pili kulia), na Kamishna wa Kazi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Susan Mkangwa (kulia), walipokutana katika viwanja vya Mwalimu Nyerere kwenye Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam baada ya Mkemia Mkuu wa Serikali, kutembelea maonesho hayo Julai 7, 2023.

SABA SABA 2023