Chief Govt. Chemist

Dr. Fidelice M.S. Mafumiko

CHIEF GOVERNMENT CHEMIST

Welcome to the Government Chemist Laboratory Authority (GCLA), your number one centre for laboratory analysis of samples/exhibits related to Forensic Sciences in order to facilitate forensic investigations and hence assurance of justice and rule of law, samples related to agricultural and industrial produce to ascertain safety and quality, samples related to paternity or sex identification in order to address society concerns and samples related to environmental and occupational health for the protection of health and the environment.


Facebook   Twitter Instagram
  
TANGAZO LA MNADA WA KEMIKALI

Wananchi wote mnatangaziwa kuwa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali itauza kwa njia ya Mnada wa hadhara mapipa (160)  yenye ujazo wa Lita 200 kila moja  ya kemikali aina ya Ethly Alcohol tarehe 27/07/2019 kuanzia saa nne 4.00 asubuhi  kwenye Ofisi za Mamlaka ya Maabara ya Mkemia  Mkuu wa Serikali iliyopo  Barabara ya Barack Obama, Dar es Salaam.

MASHARTI YA MNADA

  1. Kila mdau wa kemikali atakayehudhuria mnada huu atatakiwa kuonesha cheti cha Usajili “Certificate of Registration” kinachotolewa na Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kabla ya kuruhusiwa kushiriki mnada.
  2. Mnunuzi atalazimika kulipa papo hapo amana (deposit) isiyopungua asilimia ishirini na tano (25%) ya thamani ya kemikali atakayonunua, na kukamilisha malipo yote katika muda wa siku kumi na nne(14) kuanzia tarehe ya mnada kufanyika. Mnunuzi akishindwa kutimiza sharti hili atakosa haki zote za ununuzi wa kemikali na amana iliyolipwa haitarudishwa.
  3. Mnunuzi atatakiwa kuondoa/kuchukua kemikali aliyonunua katika muda wa siku saba (7) kuanzia siku ya kukamilisha malipo.
  4. Ruhusa ya kuangalia/ kukagua  kemikali  itatolewa siku mbili (2) kabla ya tarehe ya kufanyika mnada husika kwa saa za kazi kupitia namba ya simu +255 677 050 922.
  5. Mnada utaanza saa Nne kamili (04.00) asubuhi katika ofisi za Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Makao Makuu, Dar es Salaam.

 

Imetolewa na;

MKEMIA MKUU WA SERIKALI

MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

Our Vision

To become a reputable world class analytical laboratory for executing health, social well-being and environmental interventions.

Our Mission

To provide quality and cost effective laboratory and regulatory services to the Government, Institutions, private sector and the general public for the purpose of safeguarding human health, environment and for execution of justice.