Chief Govt. Chemist

Dr. Fidelice M.S. Mafumiko

CHIEF GOVERNMENT CHEMIST

Welcome to the Government Chemist Laboratory Authority (GCLA), your number one centre for laboratory analysis of samples/exhibits related to Forensic Sciences in order to facilitate forensic investigations and hence assurance of justice and rule of law, samples related to agricultural and industrial produce to ascertain safety and quality, samples related to paternity or sex identification in order to address society concerns and samples related to environmental and occupational health for the protection of health and the environment.


Facebook   Twitter Instagram
  
TAARIFA KWA UMMA

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali inasimamia Kituo cha Taifa cha kudhibiti Matukio ya Sumu. Kituo kina wajibu wa kupokea na kutoa taarifa za matukio ya sumu, kufanya uchunguzi wa kimaabara wa sumu, na kutoa ushauri, ili kudhibiti madhara ya sumu kwa binadamu.

Wananchi wanashauriwa kutoa taarifa juu ya matukio yenye hatari ya madhara ya sumu kama vile:

1)       Matumizi mabaya ya kemikali kama vile tindikali, zebaki, sayanaidi.

2)       Kula chakula au kunywa kinywaji kinachodhaniwa kuwa na sumu;

3)       Ajali zinazohusisha sumu; na

4)       Tukio la mtoto au mtu mzima kula, kunywa au  kumwagikiwa sumu.

 

Wakati wa tukio na pale ushauri unapohitajika kuhusu madhara ya sumu, huduma zinatolewa kupitia namba za simu na barua pepe zilizotajwa hapa chini ambapo kwa  kipindi hiki, huduma hii inapatikana kuanzia saa 3.00 asubuhi mpaka saa 9.00 mchana, siku za kazi.

 

 

SIMU Na: 0736 613333 au 022 2113333

BARUA PEPE: matukiosumu@gcla.go.tz, npcc@gcla.go.tz

Imetolewa na:

MKEMIA MKUU WA SERIKALI

Our Vision

To become a reputable world class analytical laboratory for executing health, social well-being and environmental interventions.

Our Mission

To provide quality and cost effective laboratory and regulatory services to the Government, Institutions, private sector and the general public for the purpose of safeguarding human health, environment and for execution of justice.