Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

GCLA Logo
ISO 9001:2015 Certified

Huduma kwa Mteja

Karibu Wateja wetu

Tunaendelea kujitahidi kutoa huduma bora iwezekanavyo kwa wateja wetu wote, na tunakaribisha kila aina ya mrejesho kutoka kwenu kuhusu utendaji wa Mamlaka/Taasisi yetu. Tunafahamu wadau ni wengi, kwa uchache wadau wakubwa ni hawa waliorodheshwa hapa chini

  • Wizara, Idara, na Wakala za Serikali
  • Mashirika ya Umma
  • Polisi, Mamlaka ya Kuthibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na Mahakama
  • Bodi za Kitaaluma
  • Taasisi za Elimu na Utafiti
  • Asasi zisizo za Kiserikali (AZAKI), Mashirika ya Dini na Wazabuni
  • Mashirika ya Kimataifa
  • Watu Binafsi