MKUU WA MKOA AFUNGA MASHINDANO YA SHIRIKISHO LA MICHEZO LA (SHIMMUTA) 2023
MKUU WA MKOA AFUNGA MASHINDANO YA SHIRIKISHO LA MICHEZO LA (SHIMMUTA) 2023
12 Nov, 2023 - 26 Nov, 2023
08:45:00 - 19:45:00
DODOMA
info@gcla.go.tz
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule (wa pili kulia) akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Michezo GCLA, Sabas Mandari (kushoto) cheti cha ushiriki wa Michezo ya Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania kwa mwaka 2023, Dodoma.