Kitengo cha huduma za Ufundi
Kitengo cha huduma za Ufundi
Kitengo hiki kinafanya kazi zifuatazo
- Kufanya uchunguzi wa sampuli za sayansi jinai, vyakula, dawa, usalama mahala pa kazi, mazingira, dawa asili, viuatilifu, kemikali na mazao yake
- Kufanya matengenezo na marekebisho ya mitambo na vifaa vya maabara
- Kufanya utafiti kwenye masuala yanayohusiana na uchunguzi wa sampuli mbalimbali
- Kuwezesha na kuratibu ugezi wa mitambo na vifaa vya maabara
- Kuandaa mahitaji ya ununuzi wa vifaa vya maabara, kemikali na vitendanishi, vitabu na mahitaji mengine
- Kutoa ushauri wa kisayansi kwenye masuala yanayohusiana na kazi za kitengo cha huduma za ufundi