Huduma kwa Mteja
Huduma kwa Mteja
Karibu Wateja wetu
Tunaendelea kujitahidi kutoa huduma bora iwezekanavyo kwa wateja wetu wote, na tunakaribisha kila aina ya mrejesho kutoka kwenu kuhusu utendaji wa Mamlaka/Taasisi yetu. Tunafahamu wadau ni wengi, kwa uchache wadau wakubwa ni hawa waliorodheshwa hapa chini
- Wizara, Idara, na Wakala za Serikali
- Mashirika ya Umma
- Polisi, Mamlaka ya Kuthibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na Mahakama
- Bodi za Kitaaluma
- Taasisi za Elimu na Utafiti
- Asasi zisizo za Kiserikali (AZAKI), Mashirika ya Dini na Wazabuni
- Mashirika ya Kimataifa
- Watu Binafsi