Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
Kitengo hiki kinafanya kazi zifuatazo:
- Kununua, kufuatilia, kusimamia bidhaa na huduma ili kuwezesha uendeshaji wa shughuli za Mamlaka;
- Kuratibu mchakato wa kupata bidhaa na huduma kwa ajili ya shughuli za uendeshaji wa Mamlaka ikiwa ni pamoja na vifaa na mitambo ya maabara, vitendanishi, vifaa vya ofisi na huduma;
- Kuandaa, kupitia na ketekeleza Mpango wa Ununuzi wa Mwaka wa Mamlaka.
- Kutunza na kuhuisha daftari la mali na vifaa vya Mamlaka;
- Kuandaa ripoti ya mara kwa mara pamoja na Notisi ya Jumla ya Ununuzi na Notisi ya tuzo ya Zabuni;
- Kufanya ununuzi kwa kuzingatia Sera, Sheria, Kanuni, Miongozo na Taratibu.
- Kusimamia utekelezaji wa Mikataba ya Ununuzi kwa kuzingatia matakwa ya kisheria;
- Kuandaa, kutekeleza na kuhuisha Taaratibu za Mipango ya Ununuzi; na
- Kusimamia utekelezaji wa Mikataba ya Ununuzi