Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

GCLA Logo
ISO 9001:2015 Certified

Karibu

Karibu Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, kituo chako namba moja kwa uchunguzi wa kimaabara wa sampuli zinazohusiana na sayansi jinai ili kuwezesha uchunguzi wa jinai, hivyo kuhakikisha upatikanaji wa haki na utawala wa Sheria, sampuli zinazohusiana na kilimo na bidhaa za viwandani ili kubaini usalama na ubora, sampuli zinazohusiana na uhalali wa mtoto kwa wazazi au utambuzi wa jinsi tawala ili kusaidia utatuzi wa masuala mbalimbali kwenye jamii na sampuli zinazohusiana na mazingira na usalama mahali pa kazi kwa ajili ya kulinda afya na mazingira