Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

GCLA Logo
ISO 9001:2015 Certified

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

  Maabara za kemia zinazotumika viwandani na majumbani Maabara za hospitali zinazofanya uchunguzi wa vinasaba vya binadamu Waingizaji, watengenezaji, watumiaji, wasambazaji, watunzaji, wasafirishaji, wateketezaji na wasafirishaji wa kemikali nje ya nchi. Kemikali kama zilivyoainis...
  Matokeo ya uchunguzi wa uhalali wa watoto kwa wazazi ni ya uhakika. Ikiwa baba anayepimwa si baba halalikibailojia, wa mtoto husika, uwezekano wa baba huyo kuwa ndiye baba mzaziwa mtoto husika ni asilimia sifuri (0%). Ikiwa baba anayepimwa ni baba halalikibailojia, wa mtoto husik...
   ikitaka kusajili kemikali, maabara ya kemikali, mdau wa kemikali, maabara za sayansi jinai au maabara ya vinasaba vya binadamu nifanye nini? Ukitaka kusajili kemikali, maabara ya kemikali au mdau wa kemikali utatakiwa kuingia kwenye mfumo wa e-Services unaopatikana katika tovu...
Teknolojia ya vinasaba vya Binadamu ni moja kati ya teknolojia zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani,kwa kupitia matumizi ya vinasaba vya binadamu,teknolojia hii inaweza kutumika kuboresha ustawi wa maisha ya watu kwa namna mbalimbali. Teknolojia hii ikitumika ipasavyo huweza kutumiwa katika uchung...
Nyaraka zinazotakiwa kuambatishwa kwenye mfumo ni: - Namba ya utambulisho ya mlipa kodi (TIN) Cheti cha usajili wa biashara Leseni ya Biashara kutoka (BRELA)
Zifuatazo ni huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali: - Uchunguzi wa kimabaara (Chakula na Dawa, Maikrobaiolojia, Vinasaba, Sayansi jinai kemia na Toksikolojia) Usimamizi na udhibiti wa kemikali za majumbani na viwandani Udhibiti wa huduma za Vinasaba vya Binad...